Luis Suarez atangaza kuacha kuchezea timu ya taifa ya Uruguay

Luis Suarez atangaza kuacha kuchezea timu ya taifa ya Uruguay

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Mshambuliaji wa Uruguay, Luis Suarez (37) ametangaza rasmi kustaafu soka la Kimataifa

1725460236177.png
WASIFU WA LUIS SUAREZ KATIKA TIMU YA TAIFA URUGUAY

Jina Kamili: Luis Alberto Suárez Díaz

Tarehe ya Kuzaliwa: Januari 24, 1987

Uraia: Uruguay

Nafasi: Mshambuliaji 'Striker'

Umri: 37

Mwaka alioanza Kuchezea Timu ya Taifa: 2007

Magoli Aliyofunga Timu ya Taifa: Magoli 69

Idadi ya Mechi: Mechi 142 za Kimataifa

Mashindano Aliyoshiriki: 8

Akizungumza na waandishi wa habari Agosti 3, 2024 mjini Montevideo amethibitisha kuwa mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia Septemba 5, ndo utakuwa mchezo wake wa mwisho katika timu yake ya taifa.

Suarez ni miongoni mwa wafungaji bora katika timu ya taifa ya Uruguay akiwa na magoli 69 katika michezo 142 aliyochezea timu yake.​
 
Back
Top Bottom