The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Kumbe Suarez alipokuwa anataka kwenda Atletico Madrid. Barca wakamwambia na hiyo pia haturuhusu wachezaji wetu kwenda..
Suarez akawaambia mbona haipo Kwenye list ya klabu marufuku kuhamia kutoka Barca mliyonipa?
Suarez akawatishia kui release hiyo list Barca wakaogopa ndo wakamuachia shingo upande.
Hiyo list inaonekana ikitoka
Italeta scandal sana.
Kila timu ina list ya timu ambazo hawafanyi nazo biashara lakini sio
Official ..haiandikwi popote
eMail za Barca Kwa Suarez zingewaletea shida sana.
Nna hamu kujua list ina timu
Zipi ukiacha R .Madrid na espanyol.