Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Hahahahaaaa!!!! imebidi tu nicheke nusu london! miss neddy usininange kwa hiki kicheko. doh!
half london as if yuko single..:wacko:
Nani kakufundisha ujeuri mumy? Haya majibu yana wenyewe humu,hii sio tabia yako.
si umeona eeh ukicheka huwezi kujizuia lol huyu Half London ni shiiida
hahaha le lekopozkwa hapa sawa miss. teh! Half London sijui ni mdogo wake na kelvin hart! duh
kasema eti wewe na Le mtamkoz ni ndugu! kidding
hahaha le lekopoz
atakuwa ndugu yangu si unajua watz wote ni kitu kimoja lol
nifanyie mpango basi kwa Half London.. teh
nangoja usahau mlango wazi niingie mzima! naona makufuli tu sasa hivi.
Makufuli hayo nimepoteza funguo vuta subira
Kumbeeee!!!Makufuli hayo nimepoteza funguo vuta subira
Mpe mji atakuambia hadithi inatufundisha nini!!Kwahiyo??
Kumbeeee!!!
mbaya kwa sababu sijakutia machoni tangu juzi!habari ya ulikoshinda
mbaya kwa sababu sijakutia machoni tangu juzi!
na ndio maana wengine tunalala saa saba na saa 11 alfajiri tupo machonipo mishe mishe tu za jiji u know
kwa hapa sawa miss. teh! Half London sijui ni mdogo wake na kelvin hart! duh
kasema eti wewe na Le mtamkoz ni ndugu! kidding
Hata Chris Tucker na Basket mouth ni ndugu zangu. Halafu ujue mimi kidume mzee. Tena six pack na team mandingo.
Hahahahaaaa!!!! imebidi tu nicheke nusu london! miss neddy usininange kwa hiki kicheko. doh!
half london as if yuko single..:wacko:
Uzi umevamiwa na machizi ya MMU
Nani kakufundisha ujeuri mumy? Haya majibu yana wenyewe humu,hii sio tabia yako.