Execute
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 3,000
- 7,336
Hizi tuzo zilitolewa kwa kuangalia mshindi wa UEFA Champions League (UCL). Ni dhahiri kwamba mchango wa Modric ni muhimu na wakipekee. Kama asingekuwepo Modric wala Real Madrid wasingeshinda hayo makombe.
Huyu Modric aliweza kufikia nafasi ya pili (2018) na nafasi ya tatu (2022) Kombe la Dunia akiwa na timu ya kawaida lakini Cristiano yeye ameshindwa akiwa na kikosi kizuri kwasababu uwezo wake na mchango wake kwenye timu ni mdogo.
Ballon d'or anazostahili Cristiano ni ile ya 2016 (alibeba Euro na UCL) na ile ya 2008. Ile ya 2013 alitakiwa kupewa Ribery au Robben.
Ikumbukwe kwamba Modric ana miaka 37 sawa na Cristiano lakini ameng'ara kombe la dunia mwaka huu huku Cristiano akipotea na kukaa benchi.