Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Fundi maestro kutoka Croatia, Luka Modric (Mtakatifu Luka) ni miongoni mwa viungo washambuliaji kwa miaka 10 iliyopita.
Hakuna asiyejua Modric alikuwa ni moja ya injini ya mafanikio huko Bernabeu wakati Real Madrid ikitwaa UCL mara 3 mfululizo.
Lakini cha kushangaza kama sio kustaajabisha, Luka Modric hajawahi kufikisha goli 10 plus au Assist 10 plus tangu aanze kucheza soka. Yaani licha ya kucheza shimoni (No. 10) hajawahi kufikisha magoli au assist hizo.
Bado kwangu ni mmoja ya viungo bora kabisa kuwahi kutokea kwa miaka 10 iliyopita kando ya KDB.