Lukaku anamkosi sana na baadhi ya Fan's wa UTD ( *fans matukio*) ..

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Mm nilifikiri malalamiko yangeelekezwa Kwa Mou ambaye anampanga Lukaku (90 minutes).... Au mlitaka lukaku ajitoe uwanjani yy mwenyewe?

Kuna kipindi Lukaku aliumia na wote humu tuliona pengo lake na Mou alituambia why anawaweka benchi Martial Na Rashford.

Why hatujiulizi Martial, Rashford, Wilson, Sanchez, lingard wanamsaada Gan pindi Lukaku anapofail? Zaman Yorke na Cole wakifeli basi kuna Giggs na Beckham au viungo Scholes na Roy Kean wanaweka km anavyofanya Pogba.
Au Rooney na Tevez + Babertov basi wings CR 7 na Giggs/Nani na viungo akina Anderson wanafanya yao.

Kwa Kipi ... binafsi mm ningeelekeza uchambuz wangu Kwa Mou why hawatumii akina Mata na Herrera wachezaj wenye Kasi na jicho la pasi Chanya...

Lindelof ni mzuri lkn binafsi namuonaga bado anapresha Pale UTD...Rojo /Bailly mmoja anahitajika acheze na Smalling,

Pesa anayolipwa Sanchez na ununuzi wake hata roho hajautendea Haki Pale UTD na anabahati na Fan's matukio wa UTD hawamuongelei.

Wachezaj tulionao walipaswa kuwa waamuzi wa matukio lkn unafikiri wametoka Manchester academy...

Always we are UTD ..... *we ll 'never die*![emoji1434]

GGMU[emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1434]
 
Yale ya Torres kutoka Liva kwenda Chelsea yanatokea kwa Sanchez
 
Siku Herrera akiondoka tutamrudisha kwa Pesa ndefu kama Pogba.
Just a matter of time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…