Ila mume wangu nae anapenda sifa kama shemej yangu diamond 🤣🤣, sasa jamani Gari si ulipewa jipya au ndo ilikua scraper ? , hayo marekebisho ya Nini? , na utuonyeshe kadi kwa kweli , usije ukawa umekabidhiwa Gari tu kadi ujui lilipo.
Itakua hata hajatoa japan , itakua third hand kwa mtu , magar ya Japan yanakua mazuri na yanaonekana mapya, kilometer tu ndo zinaonyesha used , naona mume wangu wamenunulia Gari kwa juma msogoti mil 5