Lukamba Vs Kifesi

Huyu kifesi mbona kama sio riziki
 
Huyu wa kwanza si ndio kifesi, je jamaa ni mzima kweli, tuanze kwenye jina kifesi ndio jina lake km vile la ukoo au ndio kajipachika kifesi(kiface) kwamba mzuri(au maana nyingine inayoendana na hii)
Km kaamua kujiita kifesi kwamba ni sura nzuri basi ana walakin huyu kijana, mtoto wa kiume unajiitaje kifesi..
Halaf hiyo picha ya kwanza mbona kapiga sio kiume ume anaonekana mng'ata lipsi huyu na wang'ata lipsi wengi mjini ni mapunga hapa.
 
Kifesi alikuemo humu jukwaa la celebs anajianzishia nyuzi.. wananzengo wakampelekesha puta akakimbia.. sasa naona umemrudisha kiaina..
 
Kifesi alikuemo humu jukwaa la celebs anajianzishia nyuzi.. wananzengo wakampelekesha puta akakimbia.. sasa naona umemrudisha kiaina..

Siku hiz yuko busy na kampun kaacha umbea mume wangu mwacheni, mkewe warumi nipo naendeleza mtanange🤣🤣
 
Lukamba ni more handsome ila tatizo anaonekana bishoo sana...huyu ndio ile type ya mwanaume anajiangalia kwenye kioo masaa nane
 
Mahandsome hawapo hapo kama hawatoi matumizi handsome ni hela tu kwa mwanaume mengine kama hana hela ni mzigo kwa ***** na demu wake.
 
Kifesi alikuemo humu jukwaa la celebs anajianzishia nyuzi.. wananzengo wakampelekesha puta akakimbia.. sasa naona umemrudisha kiaina..
Alikuwa anakera sana.. Kila siku Diamond this, Diamond that.. Kuna kipindi nikakutana nae Sinza kwenye Chipsi nikamkumbushia hizo mambo akacheka sana.

Next time nikaenda ofisini kwao (WCB) kwa ishu za kikazi nikamwambia arudi JF basi akasema yupo ila kwa ID nyingine.

Kajamaa kalijua kujipendekeza aisee. Mpaka kakafanikiwa kweli. He is a hustler. I give him that!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…