Muite fundi aangalie, kutakuwa na shida mahali. Hayo matumizi ni makubwa sana kulinganisha na vifaa ulivyonavyo. Manake sasa siku kumi 280units, kiwanda kabisa hicho.Kabla ya ac nlikua natumia unit 6 kwa siku bado naona ni mwingi kwa vitu hivyo
Ongea kitu sahihiToka tarehe 22/12 umeme unaenda kwenye luku sio poa. Wastani wa units 28 Kwa siku Kwa nyumba ya kutumia balbu 5 na friji, TV
Sema kitu sahihi,ukubwa wa nyumba na vitubu unavyotumia , isije ukawa mna kiwanda kidogo nyumbani31.12.2023 niliweka wa 20,000 (56 units) Jana tarehe 02.01 umeisha
Toka tarehe 22/12 umeme unaenda kwenye luku sio poa. Wastani wa units 28 Kwa siku Kwa nyumba ya kutumia balbu 5 na friji, TV