LUKU si sawa

Nduka

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2008
Posts
8,553
Reaction score
2,380
Lipia Umeme Kadri Unavyotumia kwa mantiki hapa kitendo cha kulipia kinafuata baada ya matumizi, yaani unaanza kutumia halafu unalipia kadri ulivyotumia(post paid) lakini hii si kweli kabisa kwani huwa tunalipia kwanza halafu tunatumia kadri kwa vile tulivyolipia(pre paid). Tunaweza kubadilisha?
 
Ni sawa kwa sababu Unit zinaenda kadri unavyotumia sio kabla wala baada.
 
LUKU = Lipia Umeme Kadri Utakavyotumia :wink2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…