Lukuvi amepewa jukumu la kuwa ‘monitor’ wa wabunge?

BungeLetu

Member
Joined
Feb 4, 2026
Posts
11
Reaction score
21
Wabunge wote wa CCM wanaoandikisha majina kutaka kuzungumza wanafuatwa au kuitwa na Lukuvi na kuulizwa wanataka kuzungumza nini, ili kama kuna chochote ambacho hakiendani na wanachokitaka wenye mamlaka, Mbunge aelekezwe nini cha kufanya.

Baadhi ya Wabunge wakongwe wameonekana kugomea wito huo, mmoja wao ni Mwita Waitara ambaye aligomea akaamua kujitoa juzikati wakati alikuwa ameshaandikisha jina.

Tuachieni Bunge letu liwe huru, tunawakilisha wananchi. Hatutaki kuwa mateka wenu
 
Uchaguzi sii huru bunge] linaanzaje kuwa huru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…