JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Ulitaka viuzwe bei gani?Hivi viwanja vya Songwe Mbeya Vijijini kwanini vinauzwa kwa bei kubwa hivi? Kwenye makazi square metre wanauza 11,500/=. Hii ni ardhi ya Serikali au?
Kiwanja cha square metre 600 ni milioni 6.9!!!
Hivi viwanja wanataka wanunue watu gani? Mtumishi anayelipwa laki 3 kwa mwezi?
Mambo haya ndio huchochea ufisadi makazini, hasa kwa watumishi wa umma.
Fanya huo ufisadi uone moto wake, utakuwa wa kwanza kwenye ile mahakama.Hivi viwanja vya Songwe Mbeya Vijijini kwanini vinauzwa kwa bei kubwa hivi? Kwenye makazi square metre wanauza 11,500/=. Hii ni ardhi ya Serikali au?
Kiwanja cha square metre 600 ni milioni 6.9!!!
Hivi viwanja wanataka wanunue watu gani? Mtumishi anayelipwa laki 3 kwa mwezi?
Mambo haya ndio huchochea ufisadi makazini, hasa kwa watumishi wa umma.