king'amuzi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 614
- 225

​Mkali katika Tasnia ya Filamu Tanzania (Bongo Movie) Lulu Michael a.k.a hot Lulu amevunja ukimya na kutoa yake ya moyoni kuhusu Justin Beiber Katika interview na zamaradi mketema Lulu alifunguka kuhusu mapenzi yake kwa bwana mdogo Beiber kwakusema kua ana plan za kupanda pipa ili kwenda kumtafuta mwanamziki huyo popote alipo kwahivyo ana mpango wa kuchangisha nauli kwa watu tofauti tofauti mpaka mpango utakapotimia......