Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Wasiomjua Msando ndo wanasema yule mwanaume ni Msando ila sio yeye kabisa.Msando nae anaingiaje kwenye matakataka kama haya, au ameambukizwa na bwana zittooo
Nishangaa pia mkuuMsando nae anaingiaje kwenye matakataka kama haya, au ameambukizwa na bwana zittooo
Nimeshangaa kwa kweli! Is he that cheap!?Msando nae anaingiaje kwenye matakataka kama haya, au ameambukizwa na bwana zittooo
fuguka kidogo apa mkuuWasiomjua Msando ndo wanasema yule mwanaume ni Msando ila sio yeye kabisa.
Sio msando yule mkuu.fuguka kidogo apa mkuu
wanasema mkenya umeiona uyo n lulu kabisa kuanzia umbo sura