Lulu afunguka kuhusu mimba yake, kuolewa na kutengana kwa wazazi wake

YetuMacho

Member
Joined
May 31, 2016
Posts
16
Reaction score
17
Miezi michache iliyopita mwanaBongomovie Lulu aliamua kumtangaza mpenzi wake hadharani kua ni Majay, mkurugenzi wa Efm. Na maswali ya mashabiki wengi yakawa ni kweli watadumu au ndo atakua kafika na kuamua kuolewa????

Lulu aliamua kujibu maswali hayo pale alipoamua kujibu maswali aliyokua akiulizwa na mashabiki wake kwa njia ya video. Katika video hiyo Lulu aliamua kufunguka mambo mengi sana ikiwemo ufafanuzi wa picha aliyopost ikionyesha kua ana mimba, kama ataolewa au la, na mengine mengi. Unaweza mskiza katika video hii hapa chini ....
 
Kwahiyo yeye ndio atakuwa kiumbe cha kwanza duniani kuwa na mimba ????
 
hivi mjizo jina lake halisi nani....ili nishirikiane na mshana jr kuanga nyota zao kama zinaendana au laa
 
Ivi iyo application anayotumia inaitwaje jmn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…