Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Inasemekana hata huyo alieporwa nae kampora shoga yake kipenzi. what goes around comes around, Wanajuana watoto wa mjini.
Ila inauma jamani,
Kuporwa mpenzi na mtu unayemfahamu halafu unaachwa na mtoto mdogo,
Wanaume kwa kweli muwe na huruma.
Inasemekana......jamaa alikuwa wa Lulu......Hamisa akampitia na mtoy juu......
Yaani ni sawa wewe uibe paka wa watu......halafu paka aamue kurudi kwao mdo mdo..........
NASIKIA KAZI YAKE NI KUTUMIA KIUNGO CHAKE CHA KATI KUFIKISHA WADADA WAPENDA STAREHE WA MJINI LABOUR WARD! KWELI DJ MAJAY UMEJAALIWA! ENDELEZA KUIJAZA DUNIA!Hivi huyo DJ tayari kazalisha wangapi vile. ...
Acha bwana!!!
Hiyo ilinipita duuuuh!
Ndio mana Hamisa yupo kimyaaaa kumbe ameangukia pua,
Maskini akajua akizaa jamaa atakua wake milele,
Nimemuonea huruma zaidi.
Jmn wanaume cjui wanataka nn jmn..yan kwa alivyo hamisa vile bado mtu anahangaika loohUnajua hamisa mobeto? Yule mwanamitindo? ndo kapokonywa Huyo Dj majay Na Lulu michael ile hali Hamisa tayari ana. mtoto na uyo dj na very soon walikuwa wafunge pingu za maisha... Hamisa uyu apa
Mkuu uko deep!Hawa watoto hivi wanajua hali ya afya ya yule mama ambaye majay alikuwa akiwekwa mjini ambaye baadae alikuwa share na tajiri wa majay maisha club? ?? Waangalie picha za Mr nice za zamani na leo kabla hawajaanza kutambiana kwenye mitandao. ..mdudu yupo wasilete masihara
WawiliHivi huyo DJ tayari kazalisha wangapi vile. ...
Mkuu Lulu kwa Hamisa anasubiri Sana sema ndo wanaume wwnyewe hawajielewiYani huyu Hamisa ninavyompenda halafu kuna watu huko wanamchezeachezea tu..grrrrrrr!!!
Alimpora Gora ZuhuraInasemekana hata huyo alieporwa nae kampora shoga yake kipenzi. what goes around comes around, Wanajuana watoto wa mjini.
Mkuu tunajua uko busy,ilaufafanuzi kidogo ungesaidia kufikisha huu ujumbe adhimu ulioudhamiria kwa jamii.
inasemekana eti huyo mama ndo alikuwa wa maj,ndo aliemtoa kimaishaUmbea unanitekenya hasa.........maelezo kidogo........
usingizi wa maj kabla hajatoka kimaishaMkuu tunajua uko busy,ilaufafanuzi kidogo ungesaidia kufikisha huu ujumbe adhimu ulioudhamiria kwa jamii.
Alimpora Gora Zuhura