Lulu Akataa Kuolewa

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,198
STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekataa kabisa suala la kuolewa kwa sasa akidai moyo wake haupo tayari kwa tendo hilo.

http://api.ning.com/files/PITcqz*43...5Fpfeesw-0-1hlyi5T95kwOqOGR*02uTpZW/LULU2.jpg

Lulu alifunguka hayo Jumatatu iliyopita katika kipindi cha Mkasi kinachorushwa kupitia Runinga ya East Africa ambacho humpa nafasi staa kuzungumzia mambo mbalimbali yanayohusu maisha yake na sanaa kwa jumla.

Wakati mahojiano hayo yakiendelea, mmoja wa watangazaji wa kipindi hicho anayefahamika kwa jina la Muba, alimtupia Lulu swali ambalo lilimtaka aeleze utayari wake endapo mtu akijitokeza na kutaka kumuoa.

“Sitaki kuolewa kwa sasa, muda wa kuolewa haujafikia. Ukifika nitafanya hivyo lakini kwa sasa sipo tayari kuolewa,” alisema Lulu.

Aidha, Lulu alikiri kuwa licha ya kutokuwa tayari kuolewa lakini amekuwa akipata usumbufu mkubwa wa kutongozwa na wanaume. Aliainisha kuwa alikuwa akitongozwa kabla na baada ya kutoka Segerea alipokuwa akishikiliwa kwa kesi ya kifo cha aliyekuwa mpenzi wake, marehemu Steven Kanumba.

“Watu wananitongoza sana, walikuwa wakifanya hivyo kabla hata sijaingia China (gerezani Segerea) na wameendelea kufanya hivyo hata baada ya kutoka,” alisema Lulu na kuongeza:

“Siwezi kuwakubalia sababu sipo tayari kuolewa kwa sasa…muda wa kufanya hivyo haujafika.”
Kuhusu suala la kudaiwa kutembea na bosi wa Kampuni ya Proin Promotion ambayo inamsimamia kisanii kwa sasa, Lulu aliruka viunzi na kudai taasisi hiyo inamlea kama mtoto wa familia na siyo vinginevyo.

Alisema hata madai yanayoelekezwa kwake kuwa Proin wamempa gari na nyumba kama sehemu ya kuhongwa na bosi wa kampuni hiyo, hayana ukweli wowote kwani yeye anafanya kazi kama msanii chini ya kampuni hiyo na hakuna kitu cha ziada.

“Hahahaha! Salama (mtangazaji) acha mambo yako bwana… mimi nipo chini ya Proin kwa sasa kwa kipindi flani ambacho nimesaini nao mkataba. Wananilea kama msanii wao, hakuna cha ziada,” alisema Lulu.

Akiendelea kubwabwaja maneno ndani ya kipindi hicho, Lulu aliweka wazi kuwa alikuwa akishindwa kuanika penzi lake na marehemu Kanumba kwa kuwa muda muafaka ulikuwa haujafika na kudai waliishi kama mtu na baba yake kabla hawajawa wapenzi, wakawa wapenzi na mauti yakamkuta Kanumba kabla hawajalianika penzi lao.
 
Atafanya mambo yake saa ngapi na akina kapten..!
 
Jikatalie kuolewa mwaya, wanaume wenyewe wa siku hizi na ndoa za siku hizi kizungumti tupu. Kwa nini uamue ku-surrender uhuru wako mapema hivi, utadhani wanaume wanakwisha duniani!
 
Hivi bado ana miaka 17 ama imeshaongezeka kidogo. Mileage hizi nazo
 
Ukifika mda wa wewe kutaka kuolewa haumpati mtu si mnaona waridi wa bishanga?
 
Huyu ni mwongo tu haamininiki. Mnakumbuka alidanganya umma kuwa alikuwa 18 tena kwa kipindi cha mkasi hicho hicho ili apate go ahead ya ufuska wake!!!!! Alidanganya kuwa marehemu Kanumba hakuwa mpenzi wake pale waandishi walipokuwa wanahoji ukaribu wao na alikana!!! Ni mambo mengi wanakama mbele ya kadamnasi ili kujisafisha lakini waongo wakubwa hawa. Marehemu Kanumba naye alidanganya kuwa hanywi pombe kumbe tena anapiga zile kali kabisa na siku anakufa alikuwa ameweka mtungi kisawasawa!!! Ishini maisha yenu halisi ili msiumbuke sikue moja maana huyu kicheche anatudanganya kuwa hana mpango wa kuolewa na siku mbili utasikia ana mume au kaolewa!!! After all ataolewaje wakati bado anazidi kuwapanga mapedejee wa mujini!!!! Kwani yeye haogopi Shaba!!!!! Ha ha ha yasijemkuta ya akina Mushi!!
 
Wanaume hawana kinyaa, huyo utamuoa wakati unajua fika kuna marehemu alikuwa anavuruga na kukaa kwake uchi hadharani. Wanaume hatuna kinyaa! Hata mshimo umeshakiuka Hooke's Law of elasticity due to excessive force while still at infancy stage
 
Mkubwa, kumbuka kwamba hao ni WASANIIIIIII......
 
Jikatalie kuolewa mwaya, wanaume wenyewe wa siku hizi na ndoa za siku hizi kizungumti tupu. Kwa nini uamue ku-surrender uhuru wako mapema hivi, utadhani wanaume wanakwisha duniani!

It is how you define it,only that.wengine tupo tunaenjoy ndoa zetu baada ya kuchukulia ndoa ni mfumo tu wa maisha na ukishaukubali you really enjoy it.
 
Wanaume hawana kinyaa, huyo utamuoa wakati unajua fika kuna marehemu alikuwa anavuruga na kukaa kwake uchi hadharani. Wanaume hatuna kinyaa! Hata mshimo umeshakiuka Hooke's Law of elasticity due to excessive force while still at infancy stage

Yesu wangu so u mean it is vita vya majimaji !!
 
Atafanya mambo yake saa ngapi na akina kapten..!
Msimsingizie mtoto wa watu bado bikra huyo. Hao akina kapten wenu, ni kati ya wale anaosema wanamtongoza kila siku lakini hajawakubalia na wala hatawakubalia.
 
Msimsingizie mtoto wa watu bado bikra huyo. Hao akina kapten wenu, ni kati ya wale anaosema wanamtongoza kila siku lakini hajawakubalia na wala hatawakubalia.

hahhaaa Bikra? hata huyo bosi wa Proin, Lukaza mmmh!
 
Wanaume hawana kinyaa, huyo utamuoa wakati unajua fika kuna marehemu alikuwa anavuruga na kukaa kwake uchi hadharani. Wanaume hatuna kinyaa! Hata mshimo umeshakiuka Hooke's Law of elasticity due to excessive force while still at infancy stage

shikamoo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…