Lulu Akiri Kufanya Mapenzi Kinyume

Lulu Akiri Kufanya Mapenzi Kinyume

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

[h=3][/h]

Aunt Lulu akiwa katika moja poz zake ufukweni
Dar es Salaam,Tanzania
WAKATI kukiwa na kashfa nzito kuwa wanawake mbalimbali wakiwemo, wasanii wa wakike nchini Tanzania, kujihusisha na tabia ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile, Lulu Mathias Semagongo maarufu kwa jina la ‘Aunt Lulu’ amevunja ukimya na kutangaza wazi kwamba aliwahi kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Lulu ametoa siri hiyo baada ya kumtuhumu msanii wa filamu Wastara Sajuki,kwamba anatumika kinyume na maumbile tangu mumewe Juma Kilowoko (Sajuki) alipofariki dunia, Lulu alitoa kashfa hiyo baada ya kubaini kwake Wastara ameanza kuwa na mahusiano ya mapenzi na msanii mwenzake, Bond Bin Suleiman, ambaye aliwahi kuwa na mahusiano na Aunt Lulu.

Aunt Lulu alidai kwamba Bond anatabia ya kula nyuma na mbele tena kwa kulazimisha na wakati mwingine anatumia hata dawa za kelevya kwa kumpa mwanamke, ili atimize hazma yake.
Akizungumzia sakata hilo Aunt Lulu alisema kwamba wakati akiwa kwenye mapenzi na Bond alishindwa kuvumilia ujinga wake na akalazimika kujiondokea kwa sababu si mwanaume mwenye maadili ya mapenzi.

Baada ya kuona Wastara wamepuuzia tuhuma na hizo huku akizidisha manjonjo kwa Bond, Lulu ameamua kuweka siri yake wazi kwamba amewahi kufanya mapenzi kinyume na maumbile akiwa na mwanaume wa kizanzibari, akihojiwa na gazi moja la udaku la kila wiki nchini Tanzania Lulu alisema kwamba yeye amewahi kujihusisha na mchezo huo' “Mimi sipendi kabisa, ila iliwahi kunitokea mara moja kipindi nilipokuwa na bwana wangu wa Kinzanzibari.

“Kwa kweli ni mateso makubwa. Kwanza yule mwanaume alinibaka, haikuwa ridhaa yangu na kunitenda hivyo nilimuacha. Nawaomba wengine waelewe kuwa ni jambo baya. Binafsi sitakuja kufanya katika maisha yangu yote.”

Kuhusu idadi ya wasanii wanaotuhumiwa kujihusisha na mchezo huo; Lulu aliendelea kusema: “Mimi nina orodha ndefu ya mastaa wanaojihusisha na tabia hiyo, siwataji kwa sasa lakini zaidi ya asilimia 90. Unajua hivi sasa hata wanaume wanaotendwa mchezo mchafu ni wengi ndiyo maana wanawake wanaamua kuachia ili wasizidiwe kete na wanaume mashoga.

kwa anavyoonekana kutoa 0653 kawaida tu...
 
Huu umaarufu unawabadilisha sana hawa vilaza haka kabinti kalikua kastaarabu sana
 
Mbona huyo bond na yeye analiwa siku nyingi??,bongo movie ndo usiseme,kuna wanaume watano tu,wengine wote uozo tupu,yaan msanii wa kiume unagongwa kwa ajili ya vits na kuishi sinza basi ndo wanaona wame win maisha,akina mainda wanayajua yote haya
 
Asimzingizie Wastara,Wastara hana tabia za kipumbafu kama yeye,
Ukishaliwa guchii huwez acha hata mara moja akamdanganye baba yake
Kila siku mmekaa kujisifia makalio tu na kupiga picha kuonyesha makalio yeny kwa nin msiliwe guchiiii pumbafu kabisa huyu Lulu
Nahisi haya majina ya Lulu yana matatizo ndani yake::
 
Mbona huyo bond na yeye analiwa siku nyingi??,bongo movie ndo usiseme,kuna wanaume watano tu,wengine wote uozo tupu,yaan msanii wa kiume unagongwa kwa ajili ya vits na kuishi sinza basi ndo wanaona wame win maisha,akina mainda wanayajua yote haya

Haya sasa makubwa!
 
du mabwaku...
 
huyu aunt lulu ana kaka yake ni shoga maarufu pale jacaranda kinondoni huu mchezo upo kwenye damu
 
huyu aunt lulu ana kaka yake ni shoga maarufu pale jacaranda kinondoni huu mchezo upo kwenye damu

Si ndo alikwaga mama yao uyo aunt lulu?,alikuwa anawafuga wengi tu kwenye chumba alichopanga,hadi akatimuliwa kwa ajil ya hao kuku watamu
 
Back
Top Bottom