lulu alitoa mimba wiki 3 kabla ya kifo cha kanumba

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,215
wakati lulu akidaiwa kwenda selo na mimba alikuwa kesha itoa, dk wa marehemu kanumba anayefanya kazi ktk hospital ya chartable.mbezi lous mtaa kwa msuguri ndiye aliyefanya kazi hiyo.ni wiki tatu kabla kifo cha kanumba hakijatokea.mwenye swali aulize
 
Mkuu m 23 source plz then other qns will follow?

Last edited by a moderator:

nilikuwepo muda huo saa 6 za mchana tumekaa na dk ndipo kanumba akaja wakaingia ndani [hospital] badae watoka ndio zikavuja .lingine?
 
Last edited by a moderator:
ungesema sasa siku ya msiba uleeee uone alshabaab kama wangekubakiza!!

nymbafu!
 
nilikuwepo muda huo saa 6 za mchana tumekaa na dk ndipo kanumba akaja wakaingia ndani [hospital] badae watoka ndio zikavuja .lingine?

Siasa zimekushinda umehamia kwenye udaku!!
 
wakati lulu akidaiwa kwenda selo na mimba alikuwa kesha itoa, dk wa marehemu kanumba anayefanya kazi ktk hospital ya chartable.mbezi lous mtaa kwa msuguri ndiye aliyefanya kazi hiyo.ni wiki tatu kabla kifo cha kanumba hakijatokea.mwenye swali aulize

Sisi kama vijana inatusaidia nn?
 
Back
Top Bottom