Lulu amlegezea Mkongo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
SiKU chache baada pedeshee Mkongo , Mwami Rajabu kutangaza kuwa anamtaka staa wa sinema Bongo, Elizabeth Michael ' Lulu' kwa gharama yoyote, mwigizaji huyo ametoa jibu linaloonesha dhahiri kwamba alikuwa radhi kumkubalia.

Akizungumza na waandishi wetu mara baada ya habari ya Mkongo huyo kuandikwa gazetini hivi karibuni, Lulu alisema kilichomshangaza kutoka kwa mwanaume huyo ni kwamba hakutakiwa kuanika hisia zake katika vyombo vya habari kama kweli ana nia ya dhati , angemtafuta mwenyewe au kwenda kujitambulisha nyumbani kwao. "Namshangaa sana huyo Mkongo kwa kweli kama angekuwa na mapenzi ya kweli asingeyaeleza kwenye magazeti , angenitafuta au angekuja nyumbani kwetu hapo ningemuona kweli ananipenda , " alisema Lulu.

Staa huyo aliendea kumwaga chache kuwa , kama mwanamke, anahitaji kupewa heshima yake na kudai kuwa wanaume wengi wa sasa wamejisahau kupindisha mila za Kiafrika kufuata taratibu na badala yake wanatanguliza fedha mbele. "Nadhani watu wamesahau mila za Kiafrika kabisa, huwezi kuwa na mapenzi ya dhati kwa mwanamke halafu utumie rafiki au vyombo vya habari umpate, hiyo inakuwa siyo heshima kabisa ," alisema Lulu.
 
Heeee Lulu nae anahitaji heshimaaaa mbona makubwaaaaa
 
Heeee Lulu nae anahitaji heshimaaaa mbona makubwaaaaa

Maneno aliyoyaongea kama mtu humjui utasema huyu dada mpole na sio muhuni kumbe engine ya mbele na nyuma zote zinafanya kazi, halafu siku izi nasikia wanasagana na wolper
 
Mh,hao wanaume wa lulu wana kazi jamani...kweli mwanamke/msichana unaweza kujirahisisha hivyo in public ilhali una mtu wako?
Tena kakupangia jumba zima???
 
Maneno aliyoyaongea kama mtu humjui utasema huyu dada mpole na sio muhuni kumbe engine ya mbele na nyuma zote zinafanya kazi, halafu siku izi nasikia wanasagana na wolper

Teh wakoboane kabisaa wanaona ...... haziwatoshiiii niniii
 
Mh,hao wanaume wa lulu wana kazi jamani...kweli mwanamke/msichana unaweza kujirahisisha hivyo in public ilhali una mtu wako?
Tena kakupangia jumba zima???

Umebadilisha avatar? Yani had nimekusahau kama ni binamu wewe
 
Kweli nimeamini hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…