LULU amzawadia mama yake Nyumba kwenye birthday yake

LULU amzawadia mama yake Nyumba kwenye birthday yake

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu'siku ya jana alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa ilyofanyika kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki ambapo mastaa kadhaa wa hapa bongo walihudhuria sherehe hiyo ambapo inadaiwa kuwa mbali kuandaa sherehe hizo mwanadada Lulu alimzawadia jumba mama yake ambayo inasemekana ipo Kimara hapa jijini Dar.

Hii ni kwa mijibu wa mwigizaji Flora Mvungi "H mama"ambae ni moja kati ya mastaa kadhaa waliohudhuria sherehe hiyo.

Akielezea usiku huo na kumpongeza Lulu, Flora alifunguka "Swirie really u killed it tonight..the outfit was marvelous.. I loved it.. It made you look more elegant.. Nice..and above all zawadi uliyompatia mumy was great..Hongera kwa kumpenda mumy wetu that much..lulu amemzawadia mam yake nyumba ambayo iko kimara..it's a very big house na Ni Nzuriiiii sana ..it's a wonderful thing lulu..love your mother very much coz you can never get another.. Nawapendaaaa" -Flora alimaliza.

Pia kwa upande mwigine mwanadada Lulu aliwashukuru wote walio mtakia heri mama yake na kuhudhuria sherehe hizo.

"Napenda kuwashukuru Wote walio mtakia heri ya kuzaliwa mama angu,nawashukuru wote mlioweza ku dedicate muda wenu mkakubali mualiko Na mkafika ktk sherehe maalum iliyoandaliwa kwaajili yake.

Najua nina Ndugu,jamaa,marafiki ma mashabiki wengi japo ni wachache tu walioweza kuwepo jana Lkn bdo naamini kwa namna moja au nyingine kila mmoja wenu alikuwa sehemu Ya sherehe Hata kama hakuwepo eneo la tukio Mwisho kabisa Mama Lulu kwa Jina lingine Dada wa Rwechungura amesema niwashukuru kwa niaba yake"-Lulu alimaliza.

Hongera sana Lulu.
Chanzo: GPL
 

Attachments

  • 1420200973521.jpg
    1420200973521.jpg
    41.3 KB · Views: 3,910
eeh!! ivi ile nyumba kumbe bado ipo , kwani imeshakuwa nyumba si ni pagara tu jamani, mmh aya hongera
 
huyu mama zero kabisa...!!mnisamehe team kuuza nyapu
 
eeh!! ivi ile nyumba kumbe bado ipo , kwani imeshakuwa nyumba si ni pagara tu jamani, mmh aya hongera

Hee! Kumbe unaijua! Asije kuwa anatafuta cheap popularity! Hivi niulize kitu jamani ukijenga nyumba kwenu hiyo ni habari??? Mbona kila mtu kajenga kwao?? Sisi watoto wa Kayanza kwetu yumba za udongo na makuti tumemaliza chuo na kuajiliwa ndio unajenga so ni jambo la nikawaida sana everybody does
 
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu’siku ya jana alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa ilyofanyika kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki ambapo mastaa kadhaa wa hapa bongo walihudhuria sherehe hiyo ambapo inadaiwa kuwa mbali kuandaa sherehe hizo mwanadada Lulu alimzawadia jumba mama yake ambayo inasemekana ipo Kimara hapa jijini Dar.

Hii ni kwa mijibu wa mwigizaji Flora Mvungi “H mama”ambae ni moja kati ya mastaa kadhaa waliohudhuria sherehe hiyo.

Akielezea usiku huo na kumpongeza Lulu, Flora alifunguka “Swirie really u killed it tonight..the outfit was marvelous.. I loved it.. It made you look more elegant.. Nice..and above all zawadi uliyompatia mumy was great..Hongera kwa kumpenda mumy wetu that much..lulu amemzawadia mam yake nyumba ambayo iko kimara..it's a very big house na Ni Nzuriiiii sana ..it's a wonderful thing lulu..love your mother very much coz you can never get another.. Nawapendaaaa” -Flora alimaliza.

Pia kwa upande mwigine mwanadada Lulu aliwashukuru wote walio mtakia heri mama yake na kuhudhuria sherehe hizo.

“Napenda kuwashukuru Wote walio mtakia heri ya kuzaliwa mama angu,nawashukuru wote mlioweza ku dedicate muda wenu mkakubali mualiko Na mkafika ktk sherehe maalum iliyoandaliwa kwaajili yake.

Najua nina Ndugu,jamaa,marafiki ma mashabiki wengi japo ni wachache tu walioweza kuwepo jana Lkn bdo naamini kwa namna moja au nyingine kila mmoja wenu alikuwa sehemu Ya sherehe Hata kama hakuwepo eneo la tukio Mwisho kabisa Mama Lulu kwa Jina lingine Dada wa Rwechungura amesema niwashukuru kwa niaba yake”-Lulu alimaliza.

Hongera sana Lulu.
Chanzo: GPL

Like mother, like daughter!
 
Bora ampe Nyumba , wangapi wanauza vipapa( kama anauza ) wanaishia kula chipsi Mayai tu !hata Khanga Nzito Mama zao hawawanunulii ! Hongera Binti ....Hongera sana ...
 
Siku hizi naona matofali yamegeuzwa mkate🙈🙈🙈kila staa x6 Hekalu kwenye vibasdey kwa movie zipi?
Soko lipi la movie?kopi ngapi wanauza?
 
Hvi lulu anafanya kazi gan hapa town ya kumuingzia kipato jamani?
 
Back
Top Bottom