Lulu aogopa ubonge aamua kuingia gym kupunguza mwili, tazama picha hapa

Lulu aogopa ubonge aamua kuingia gym kupunguza mwili, tazama picha hapa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Baada ya Kuona Mwili unazidi Kuongezeka na Kuwa Bonge Nyanya Msanii wa Filamu Lulu Michael sasa Ameamua kuingia Gym Kupunguza huo mwili ..Hizo ni Picha Alizoshare na Mashabiki zake
 
mbona kadogo hivi?

kijana aliangukaje kwa kabinti kama haka jamani?

RIP brother!
 
mbona kadogo hivi?

kijana aliangukaje kwa kabinti kama haka jamani?

RIP brother!

Kijana alikuwa amekunywa jack Daniel,hivo alikuwa amelewa ikawa ni rahisi kwenda chini.RIP
 
Abarikiwe aliyegundua make up! khaaa..! kumbe huku uswahili kwetu kuna watoto bwana..no make up lakini hatari...!
 
mbona kadogo hivi?

kijana aliangukaje kwa kabinti kama haka jamani?

RIP brother!
mkuu udogo wake hauko vipi umri au umbo.....?maana kichwa cha treni kidogo lakini kina vuta ma behewa kama 30.mtoto mashine yake six silinda injini nyuma mbele,ilaa kana faa kwa kulumangia na kachumbari
 
Ngoja nikaombe kazi kwenye gym anayofanyia mazoezi...lol!
 
Back
Top Bottom