Lulu apigwa kibuti na kunyang'anywa gari baada ya kuposti picha yupo na bwana mwingine

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,378
Reaction score
56,047
Mbongo movie Lulu yasemekana amepigwa kibuti na mapedeshee wake waliokuwa wanamuweka mjini, Yule wa Mererani na yule wa tmt.

Yote ni baada ya kuweka picha instagram akiwa na kiserengeti boy chake hivyo wafadhili wote wakamtema na kunyang'anywa kadi ya gari maeneo ya Kibo Palace Hotel bibie akashusha kilio kikali cha majuto.

Pole Lulu mkifadhiliwa mfadhilike,We bnti mdogo sana rudi shule my dear uwezo wa kusoma unao Kuna leo na kesho kwanini ukubali kudhalilisha mwili wako hvyo!
 
Mmmmhhh sasa ataishije kama wanampa jeuri wamemtema, kazi kweli kweli.
 
Mmh sina hata cha kusema jamani. Lulu, u are too young and beautiful, please rudi shule au jitafutie biashara zako mwenyewe. Unaweza kuishi bila kutegemea huruma za mapedeshee.
 
Kamekubuuu hako ni kama nyati wa kike mzee. Hakawezi badilika
 
Mmh sina hata cha kusema jamani. Lulu, u are too young and beautiful, please rudi shule au jitafutie biashara zako mwenyewe. Unaweza kuishi bila kutegemea huruma za mapedeshee.

Mbona anasoma!
 
Huyu binti anajitaftia matatizo tu na umri wote badala a focus na shule sasa si ndo atazeeka kabla ya mda wake sijui kwanini hawajiheshimu hawa bongo movie hapo atarudia kupauka
 
Watu wameanza kata viuno wakiwa 12 yrs kamwe hawawezi acha zaidi watakuwa wanatafuna kila aina
 
Mmh sina hata cha kusema jamani. Lulu, u are too young and beautiful, please rudi shule au jitafutie biashara zako mwenyewe. Unaweza kuishi bila kutegemea huruma za mapedeshee.

Mbona anasoma magogoni
 
Kwenye picha ya insta ameonesha kadi ya gar ikiwa imeandikwa jina lake la kwenye kadi ya kuzaliwa so labda kaachwa tu na sio kunyang'anywa gar,she say bado analimilik
 
Mmh sina hata cha kusema jamani. Lulu, u are too young and beautiful, please rudi shule au jitafutie biashara zako mwenyewe. Unaweza kuishi bila kutegemea huruma za mapedeshee.

mbona anasoma chuo,magogoni
 
Mmmmhhh sasa ataishije kama wanampa jeuri wamemtema, kazi kweli kweli.

atatafuta madanga mengine ya mjini ili aishi maana maisha yake yanaendeshwa na nyapu tu
 
Mmh sina hata cha kusema jamani. Lulu, u are too young and beautiful, please rudi shule au jitafutie biashara zako mwenyewe. Unaweza kuishi bila kutegemea huruma za mapedeshee.

namuonea huruma hv mama ake ni mama wa aina gani jamani...?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…