Lulu aporomosha matusi mazito, kisa kanumba.

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Aiseeh wacha wee mtoto , funguka zaidi basi tujue na mengine. Movie imenoga aiseeh kumbee
 
Attachments

  • 1397837697543.jpg
    50.1 KB · Views: 5,137

insta kuna raha umbea asubuhi mchana mpaka majogoo....
 
Hahhhhhhahhha kaamua kutoa povuu
 
hahahhahah binamu umerudi kwa speed welcome back.... hahhaha naona lulu wamemtibua ashaanza kubwabwaja kama enzi zake.
 
Ulirudi lini mpnz? Lulu alikuwa na akili sana class ni km ka genius flani sema kupenda team
ya libolo na u much know Ndo vimemharibia ...mtoto mdogo mambo makubwa. Nilishampiga darasa mahali ktk kuganga njaa na kutekeleza MKUKUTA

Nipo toka juzii chezeaa watu na bahati zaooooooooo
 
Ulirudi lini mpnz? Lulu alikuwa na akili sana class ni km ka genius flani sema kupenda team
ya libolo na u much know Ndo vimemharibia ...mtoto mdogo mambo makubwa. Nilishampiga darasa mahali ktk kuganga njaa na kutekeleza MKUKUTA

Siku izi nasikia yupo magogoni namuonag na ki rav 4 chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…