Lulu asema umasikini ulipaswa kuwa dhambi

Handsome Boy 2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
605
Reaction score
151
Msanii maarufu wa Bongo Movie Elizabeth Michael "Lulu" wakati akifanyiwa interview nyumbani kwake,amesema kuwa anachukia umasikini na amedai kuwa umasikini ulipaswa kuwa sehemu ya dhambi.
 
Kuna amri za Mungu zinasema 'Usiue, Usizini'...hakuna inayosema 'Usiwe Masikini'!
 
Msanii maarufu wa Bongo Movie Elizabeth Michael "Lulu" wakati akifanyiwa interview nyumbani kwake,amesema kuwa anachukia umasikini na amedai kuwa umasikini ulipaswa kuwa sehemu ya dhambi.

Ni vyema angesema umasikini ungekuwa ni kosa la kisheria!! Lakini amejaribu kupeleka ujumbe kwa CCM kwa kushindwa kuondoa umasikini tangu tupate uhuru.
 
Mjini msingi ni kiuno, kwa vile kiuno anacho asidhani kila mtu anacho!
 
Ni vyema angesema umasikini ungekuwa ni kosa la kisheria!! Lakini amejaribu kupeleka ujumbe kwa CCM kwa kushindwa kuondoa umasikini tangu tupate uhuru.

Mwanamayu mimi siyo mawana-ccm, lakini ukweli ni kwamba umasikini wa tanzania hauwezi kuondolewa na chama cha siasa.
 
Mwanamayu mimi siyo mawana-ccm, lakini ukweli ni kwamba umasikini wa tanzania hauwezi kuondolewa na chama cha siasa.

Kazi ya chama cha siasa ni ipi?! Mimi nalipa kodi kikamilifu, na kama wengine wanafanya vivyo hivyo, na wahisani wanatupatia pesa; sasa haya matatizo ya kukosa huduma mbovu za kijamii kama elimu bora, afya bora, barabara nzuri yanatokea wapi? Sio kwamba tuliyempa dola ameshindwa kufanya kazi?

Ndio maana labda independent candidate anaweza kututoa kama watoto wa mjini wanavyosema!
 
He he he kisa kaona anapata kwa dezo ehh anaropoka tu safari bado ndefu ajipange maana umaskini hauna mipaka unaeza ukawa mambo super miaka 10 afu badaa ya hapo ukakung'ang'ania mpaka kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…