Hili ni vazi la kikahaba, dunia imefika mahali hata makahaba wanajisifu kwa utajiri!!!!!
Msanii maarufu wa Bongo Movie Elizabeth Michael "Lulu" wakati akifanyiwa interview nyumbani kwake,amesema kuwa anachukia umasikini na amedai kuwa umasikini ulipaswa kuwa sehemu ya dhambi.
Hana jipya nae huyo mtoto,aende shule akasome..
Na Afahamu pia kuwa Tajiri haingii Mbinguni
Usikariri kusoma ndio kufanikiwa, kuna watu walioendelea dunia hawajasoma. kama wachezaji wa mpira, waimbaji n.k
Kumbe pamoja na uchangu una Akili pia!
Kuna amri za Mungu zinasema 'Usiue, Usizini'...hakuna inayosema 'Usiwe Masikini'!