Tetesi: Lulu atoka akiwa na kitumbo

Tetesi: Lulu atoka akiwa na kitumbo

Kawogo f

Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
31
Reaction score
32
Nimesoma habari hii katika mtandao fulani wa kijamii ukidai kuwa lulu muigizaji maarufu kuwa ametoka akiwa na kitumbo. Sasa ninajiuliza aliempa hicho kitumbo ni nani kama ni kweli?
 
Yule atakuwa kanenepa na msosi wa jela hata mwanzo alipotiwa ndani alitoka shavu dodo
 
Watu watata aiseh
Lugha ya 'katumbo' imesaidia sana la sivyo kwa uzi huu ulikuwa unapimwa kimiminika asubuhi tu!!!
 
Alivyokuwa Jela alikuwa anapata mda wa kupumzika,alikuwa hauchoshi mwili halafu sector ya misosi MJZ alikuwa anafanya yake.
 
Sehemu aliyokuwepo alikua mapumzikon zaid may be gerezan or popote na hakua na stress wala diet
 
Back
Top Bottom