Nimesoma habari hii katika mtandao fulani wa kijamii ukidai kuwa lulu muigizaji maarufu kuwa ametoka akiwa na kitumbo. Sasa ninajiuliza aliempa hicho kitumbo ni nani kama ni kweli?
Kwa kuwa ni mwanamke sio shida, ila kwenda kufanya usafi wizara ya mambo ya ndani duh pale kuna wakware isee. Mtoto hawezi toka salama pale lazima aliwe tena kiroho mbaya
Nimesoma habari hii katika mtandao flan wa kijamii ukidai kuwa lulu muigizaji maarufu kuwa ametoka akiwa na kitumbo
Sasa ninajiuliza aliempa hicho kitumbo ni nani? Km ni kweli?