Lulu avamiwa na majambazi

warumi

Simu za milioni 3 anashindwa kuajiri kampuni ya ulinzi?
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh eti Mbinu za kisayansi....
 
Hawajala mzigo maana uvunje dirisha halafu yupo peke yke mmmhhh lazma walitaka kujua kinachowagandisha wengi ndan ya chup
 
I like her... pamoja na kejeli nyingi... na matusi ya ndani ya nguo..yaani she has moved on... tena baadhi ni wanawake wenzake... wanamponda kupita maelezo..
ila atakuwa alifanya uzembe.. Ile nyumba ina ulinzi wa electric wires system
hkuwasha basi
.
 
Majambazi au kikundi cha washkaji wanao'pigaga' huyu dogo?

Habari nyingine zimekaa ki'movie-movie'.
 
Peleka mada yakp kwenye magazeti ya udaku, hapa ni great thinkerz place
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…