Lulu: Bongo movie ishabuma, nimeamua kurudi shule

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
STAA wa filamu mwenye makeke mengi, Elizabeth Michael ' Lulu' amesema kwa mtazamo wake anaona Bongo Movies imebuma hivyo ameamua kukomaa na shule ili awe na kitu kingine tofauti na sanaa.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Lulu alisema kuwa kwa sasa yuko Chuo cha Uhazili Magogoni, Posta jijini Dar akichukua ' course' ya Utawala wa Umma ( Public Administration ) kwa ajili ya kupata ujuzi mwingine kichwani .

Mwenzangu naona Bongo Movies kunaelekea kubaya, bora hata nikomae na shule angalau hata niwe na kitu kingine kichwani nipate mbadala wa sanaa ," alisema Lulu.
 
akamdanganye mkongo ili ampe ada hela anunulie pichu..
hana cheti cha form four na wala hakumaliza shule baada ya utamu kolea wa komba kumzidia
Magogoni huendi tu kama huna cheti labda angesema utalii college huko,zoom huko ,Dinazarde College huko
 
akamdanganye mkongo ili ampe ada hela anunulie pichu..
hana cheti cha form four na wala hakumaliza shule baada ya utamu kolea wa komba kumzidia
Magogoni huendi tu kama huna cheti labda angesema utalii college huko,zoom huko ,Dinazarde College huko

Umeniita eee
 
Bora akasome but ile div4 ya 35 cjui wamemchukuaje hapo.

Mimi pia nakumbuka niliyaona matokeo yake, yalikuwa mabaya ila nashangaa tu mtihan wa form four hakufanya yule wala hakumaliza form four, mmh hatarr
 
Hivi unaweza kwenda chuo bila kumaliza form four,maana hata hotel management wanataka umalize cha four au kanunua cheti

Nilionaga matokeo yake mtandaoni sasa sijui yalikuwa fake, alipata D moja au mbil masomo yote sifuri, sasa sijui matokeo ni yake kwel au fake, maana inajulikana hata form four hakumaliza, maana pale perfect vision aliishia form two akahamia st marrys ya mbezi beach, uko nasikia alisoma miezi sita akaacha, sasa hyo form four sijui alimalizia wapu, had kuna kipindi walimu wa st marys walisema hawamtambui lulu kama mwanafunz wao, kuna scandal kubwa alipatag apo apo akaacha shule kwa kuona aibu
 

alimaliza midway secondary ipo kinyerezi ila sidhani km alifaulu chochote
 
D mbili na F zote..haha afu eti anasoma certificate...haha kweli mwenye nacho anaongezewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…