Lulu: Bongo movie ishabuma, nimeamua kurudi shule

kweli wabongo watu wa ajabu sana...yani mwenzenu kurudi shule imekua tatizo mmekalia kumdhihaki humu...msipende kuchekelea wenzenu wanapokua wamepotea tu...chekeleeni pia wanapoamua kufanya mambo ya msingi..lulu bado mtoto mdogo sana sasa nashangaa mababa na mama mazima humu ambayo na yenyewe shule imeyashinda yanamdhihaki binti wa watu eti kisa kaamua kurudi shule...watanzania tupendane jaman..tuache roho za kwa nin.over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…