GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Lulu Diva apigwa Iphone 16, alimpa mlinzi wake wamuwekee chaji
Msanii wa muziki @luludivatz amejikuta katika wakati mgumu baada ya simu yake Iphone 16 kuibiwa na mtu asiyejulikana.
Tukio hilo limetokea usiku huu katika pambano la Knockout ya Mama Magomeni jijini Dar Es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa za mashuhuda simu hiyo alipewa mlinzi wake kwajili ya kuiweka chaji na yeye anadaiwa akaiweka katika meza za wazalishaji maudhui bila wao kujua.
Alivyorudi kuiangalia simu hiyo aliikosa huku wazalisha maudhui wa meza hiyo wakisema hawajui chochote.
Hata hivyo baada ya kuitrack simu hiyo saa moja baadae ilisoma maeneo ya Temeke na ndipo msanii huyo pamoja na mlinzi wake pamoja watu wa karibu wakaamua kwenda kutafuta polisi ili wakaisake.
Chanzo: bongofive
Masela na Wajanja wote Dar es Salaam wako Magomeni halafu nawe unaenda na Simu yako ya Thamani kuwaringishia.