We naye ulivyokadhana na Kylin kila thread unaleta habari zake umetumwa!!!? si uanzishe thead yake tuchangie huko.
Hahahaaa,eti bwana.Atuwekee na mapicha ya ndafu na mbege hizo tuone sio maneno matupu.
hahaha kibibi wewe mbona umepayukwa sana...relax!!!
Mimi sio kibibi nalingana umri na boss wako Klyn ntake radhi, nime relax mpendwa .Tatizo ni wewe unapenda tujue habari za boss wako halafu hutaki kuanzisha thread. Anzisha basi tuenjoy kuona mapicha ya ndafu.
uwii hapo kwenye kuweka picha ndio pamenishinda,ningejua kuweka ningewawekea Mrs Mengi akikabidhiwa masufuria huko ya kupikia mtori
Nataka sana kusikia maana niliyenae ndani type za marehemu Seky nawinda bilionea nimalizie maisha, tatizo kasimu kenyewe katochi hakana hata Insta. tuleteeni huku JF.kama umesharelax basi shukrani!!!napita hivyi na we pita kule..fumba macho kama hutaki kusikia sauti za bibi mwenzako.
Nataka sana kusikia maana niliyenae ndani type za marehemu Seky nawinda bilionea nimalizie maisha, tatizo kasimu kenyewe katochi hakana hata Insta. tuleteeni huku JF.
Tatizo mgao mwenzangu kajumba kananiuma kukaacha, yaani hapa namuombea akalie aka kameza ketu kakioo sikumoja adondoke nipumzike. Bora Klyn kajitwalia mzee hawa Vijana wetu 40's pasua kichwa.hahahaaaaha sasa nimeelewa sababu ya kupayukwa unatamani kuingia insta ss tatizo Nokia ya tochi,hahaa umenifurahisha mno,hiyo ndoa kama ni majanga bora ukimbie tu,sasa usinihukumu bure, mie kupitapita kila korido kusambaza umbeya coz sijui kuanzisha thread wala kupost picha..
Tatizo mgao mwenzangu kajumba kananiuma kukaachi, yaani hapa namuombea akalie aka kameza ketu kakio sikumoja adondoke nipumzike. Bora Klyn kajitwalia mzee hawa Vijana wetu 40'pasua kichwa.
Daah...asee wewe una maneno ya mkosi. Yaani ulishatabiri kabisa huyu jamaa atakufa na sasa amekufa kweli. Inabidi ujiogopeHuyo seki anajipendaa kwelii akikazinguaa ka lulu tutamsikiaa chaliiiiiiii kama the great
Tatizo mgao mwenzangu kajumba kananiuma kukaacha, yaani hapa namuombea akalie aka kameza ketu kakioo sikumoja adondoke nipumzike. Bora Klyn kajitwalia mzee hawa Vijana wetu 40's pasua kichwa.
Daah...asee wewe una maneno ya mkosi. Yaani ulishatabiri kabisa huyu jamaa atakufa na sasa amekufa kweli. Inabidi ujiogope
Hawa viumbe wanatuchumia dhambi hawa, lakini kweli ndugu yangu maana hata akisafiri tu naogopa kulala chumbani mwenyewe nakosa amani usiku kucha.Hhhhhhaaaaaaaaaaaaa yaan kakuchosha hivyooo wewe wanauzigi tu lakin hutaki yamkute mabaya siku akifa ndio utajua kua ni mtamu na unasahau makosa yake yotee acha kabisaa
Huyo seki anajipendaa kwelii akikazinguaa ka lulu tutamsikiaa chaliiiiiiii kama the great
Hawa viumbe wanatuchumia dhambi hawa, lakini kweli ndugu yangu maana hata akisafiri tu naogopa kulala chumbani mwenyewe nakosa amani usiku kucha.
Huyo seki anajipendaa kwelii akikazinguaa ka lulu tutamsikiaa chaliiiiiiii kama the great
Huyo seki anajipendaa kwelii akikazinguaa ka lulu tutamsikiaa chaliiiiiiii kama the great
Wewe MTABIRI? Ilikuwaje ukahisi atakufa na kweli imekuwa?