Lulu (Elizabeth Michael): Sifanyi tena kosa, nikipata mimba nazaa tu!

Lulu (Elizabeth Michael): Sifanyi tena kosa, nikipata mimba nazaa tu!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Stori: Shakoor Jongo

STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu' amefunguka kuwa kama siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena, atazaa tu. Katika mahojiano maalum na gazeti hili juzikati, Lulu alisema kwa sasa yuko tayari kuolewa ili awe na familia yake ila si kwa sharti la mwanaume husika kumwambia amzalie kisha ndiyo amuoe.

Ijumaa: Kwani kwa sasa si una mpenzi?

Lulu: Ndiyo ila bado sijapanga swala la kufunga naye ndoa.

Ijumaa: Kwa hiyo umesema ukipata mimba kwa bahati mbaya hutofanya misteki lazima uzae, unaweza kuniambia ni misteki gani?

Lulu:Nadhani maswali yako uliyoniuliza nimekujibu kiufasaha kabisa hilo siwezi kulijibu.

Ijumaa linahisi kosa ambalo Lulu hatalirudia tena ni la kutoa mimba, kitu ambacho hataki kukizungumzia.
 
Mshakosa cha kuigiza sasa hiv ni kuigiza tu na magazetii,angekuwepo Kanumba ungeng'ara kwenye filamu kibao najua unajuta sana kumpiga mwenzio na lijitu kichwanii maana sasa hiv hamuelewekii hamuuzii
 
Inaonekana ametoa mimba nyingi sana,now ameamua kuwa muwazi
 
Mmh binamu Leo umeniamkia vbaya , ngoja niwe mpole tu

Hapana binamu nilijua lazima useme hivyo, kwani wifii yangu bado hamjapatana tu au ulivyogoma kumtambulisha ndio akasepa jumlaa
Halaf siku hizi simuoni Matola kapotelea wapii??
 
Last edited by a moderator:
Hapana binamu nilijua lazima useme hivyo, kwani wifii yangu bado hamjapatana tu au ulivyogoma kumtambulisha ndio akasepa jumlaa
Halaf siku hizi simuoni Matola kapotelea wapii??

Nilisikia yupo bungeni sasa sijui source wangu alipatia au vp
 
Last edited by a moderator:
Ametoa mimba mpka akienda kuchoropoa vifaa vinamtambua na yy ndo anatoa maelekezo kwa mtoaji.
 
Hahhahhhahhhaha eeee kama yupo bungeni ni hataree ndio maana bunge halikalikiiii aiseees

Binamu yan kati ya watu wako wote uliokuwa nao pale ulibugi, ivi ulichaguliwa au? Kama nakuona jins unavyopatag vipondo kutoka kwa bwana matol
 
Binamu yan kati ya watu wako wote uliokuwa nao pale ulibugi, ivi ulichaguliwa au? Kama nakuona jins unavyopatag vipondo kutoka kwa bwana matol

Mi nishamzoeaa mwanzon alinipa tabu sana,mi nahisi ndio yule hua anazomeaa bungenii au vipii
 
Back
Top Bottom