MaxShimba
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 35,771
- 4,065
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mkuu humjui?, ni yule aliyevaa suruali na blauzi ya maua maua.Ndo yupi kati ya hao wawili?
Halafu kwenye bail yake kulikuwa na condition kuwa ni marufuku kupiga au kuonekana kwenye picha za kupozi?
Yaani mkuu humjui?, ni yule aliyevaa suruali na blauzi ya maua maua.
Gereza limembadilisha jamani, she looks like a mother. Ni heri angeendelea kuvaa nguo ndefu kama alivyokua gerezani
jaman akivaa nguo ndefu uraian anawashwa lakin kuleeeeeeeee hapana
Ehh kana roho ngumu kameshasahau kma kaliua!!!
Teh, teh, teh!Pataa!!!!!!!!!!