LULU Huyoooo baada ya kutoka Gerezani

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065
[TABLE="align: center"]
<tbody>[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]


[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
<tbody>[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lulu katika pose na rafiki yake ....[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
[TABLE="align: center"]
<tbody>[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
Mkuu na hizi picha utatoa zote au nusu kama ile installment ya novel ya Kikosi cha Kisasi ?
 
Ndo yupi kati ya hao wawili?

Halafu kwenye bail yake kulikuwa na condition kuwa ni marufuku kupiga au kuonekana kwenye picha za kupozi?
 
Ndo yupi kati ya hao wawili?

Halafu kwenye bail yake kulikuwa na condition kuwa ni marufuku kupiga au kuonekana kwenye picha za kupozi?
Yaani mkuu humjui?, ni yule aliyevaa suruali na blauzi ya maua maua.
 
Gereza limembadilisha jamani, she looks like a mother. Ni heri angeendelea kuvaa nguo ndefu kama alivyokua gerezani
 
Mumuwache mtoto wa watu apumue . Kila uchao kumsakama kaaa!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Gereza limembadilisha jamani, she looks like a mother. Ni heri angeendelea kuvaa nguo ndefu kama alivyokua gerezani

alikuwa gerezani kama vyombo vya habari vilivyokuwa vinaripoti lakini in real sense .... Chezea tz wewe
 
acheni watu wachanganyikiwe jamani she is beautiful.
 
Love u lulu,kanumba's death was god wishes but u 2be out now is god wishes,ur so pretty sex young girl,waaaaao mwaaaaaaa
 
sasa ana matatizo makubwa zaidi, kumbe anasaga na anajionyesha hadharani. Jela ni mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…