Lulu, Idris wazua tafrani

Bwana Chiniko

Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
20
Reaction score
9
Nyota ya muigizaji Elizaberth Michael 'Lulu' imeonekana kuendelea kung'ara baada ya kutajwa na aliyekuwa mshindi wa shindano la Big Brother Africa{BBA}, Idris Sultan kuwa ndiye staa wa kike wa kibongo anayevutiwa kuzaa naye.

Lulu kwa sasa yuko mapenzini na bosi wa kituo kimoja cha redio na runinga nchini, ameelezewa na Idris kuwa ndiye staa wa kike wa kibongo aliyetulia na mwenye sifa kuwa mke wa mtu, ''ametulia sana kwa sasa, anafaa kuwa mke''.

Lulu kwa sasa ambaye ametajwa kuwa kwenye maisha ya kifahari huku akimiliki mali kadhaa zenye thamani ya juu, ikichangiwa na kile kinachosemekatna kuwa ni baada ya kusomewa dua maalum na Ostadh Nurdini. 0655 79 33 35
 
huu uzi unatembea kwa kasi ya ajabu... Kweli aliyewatuma hakuwakosea
 
Haihitaji degree kujua hapa main point ya uzi ni jinsi gan watu wamtafut Ustaadh
 
Aiseeee.....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hii jf ya kisasa naona sasa hainitoshi kabisaaa....[emoji135] [emoji135]
 
Aiseeeee mfanyie mipango na Wema nae aende kwa huyo ustadhi maana anaishia kugawa utamu wake bure hata bajaj apewi
 
Mtoa Mada nyota yake imesafishwa na ostadhi mpaka kafanikiwa kuandika tangazo jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…