Lulu in new hairdo and white trends

Lulu in new hairdo and white trends

nimechakaje uck huu peke yangu!

ha haa haa haaa maana naona the so called maselebrity wanajitupia sana. ila mimi fasheni zingine zitanipita tu. hiyo mibutu na joto hili hapana kwa kweli, mwenyewe kapendeeza lakini.
 
She is beauttful kwakweli na kamependeza....kajitahidi tu kasichoke mapema kakakongoloka

kwa mambo ya nongo kana uzoefu kama wa mwanamke wa miaka hamsini. Ukikaendea kanakutoa jasho.

haka katoto kazuri jamani

Kanauzwa?

she is beautiful

best hivi hayo mabuti ndio yapo kwenye fashion? na mie niyatafute.

Je ulifahamu kuwa Diamond alitamani kumchumbia Lulu?!? Na wajua sababu kwa nini Lulu alimkataa Diamond? Ingia Hapa Usome>>>Sababu Za Lulu Kumkataa Diamond Platinumz - bkuHABARI

Ukicheza na aka katoto, ni lazima upate brain concussion!

She looks stunning....Beautiful

Ivi kesi iliisha?

Kungalia tu??? Only that?

the_difference_between_socialising_for_men_vs_women.jpg
 
Back
Top Bottom