Lulu kabla ajajifunza

Lulu kabla ajajifunza

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,239
Maisha ni nini
uploadfromtaptalk1365596839990.jpg
 
Anautumia uzuri na umaarufu wake vibaya,ana mambo ya kikubwa kuzidi hata wakubwa wenyewe.
 
hicho kitoto nlikuwa nakipenda sana wakati kipo kidogo cku hizi looh kinawaza m**oo tu ili zimuweke mjini kanaacha kuwaza shule.
 
Dada mmoja aliniambia mjin kila mtu anaringia alichonacho ati..kama ni men wallet nene..kwa hawa dada zetu ni vifua vyao wanavyoacha waz vikiwa vimetuna kama wamejaza upepo tt zao! Hapo hawajavaa ile migauni lain ya kushika kwa mbele ili nyuma ikaze na vibration kwa mbali! Yote tisa kumi ukute kavaa trouser na hiz pichu za kamba looh utam wote nje unaona ka kamba tu kinapotekea kwenye mstar wa ikweta!
 
Kuna mtu hapa JF alisema kuwa zamani mtu unafunua ch.upi ili uone t.ako ila sasa unafunua t.ako ili uone ch.upi
 
Back
Top Bottom