Lulu kamtaja Ali Kiba ndiye aliyempa lift baada ya ugomvi wake na Kanumba

zilakina

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
293
Reaction score
77
Watu wengi watahojiwa kuhusiana na kifo cha The great.lulu amtaja ali kiba ndiye aliyempa lift kutoka kwa marehemu kanumba.
 
ungekuwa wewe ndiye Ali Kiba...unapita hapo sinza vatican na kukutana na Lulu barabarani akiwa desperate na anahitaji lifti pasi na wewe kujua kuwa amesha-mkolimba mtu, ungemnyima hiyo lift????!!!!!
 
amemtaja wapi hivi sasa lulu yuko segerea. tuwe macho kifo cha kanumba kinaweza kuwachafua hata wasio husika
 
...muendelezo wake si ajabu ukawa hivi: baada ya kupanda gari lilipata pancha pale BP, Cabo Snoop ndiye aliyepiga jeki, Akon akaziba na supagluu kutoka kwa Chameleon. Lakini gari likazimika, DJ Cleo akawapa waya wa boost... Barnaba akasema haufai ...
 
ungekuwa wewe ndiye Ali Kiba...unapita hapo sinza vatican na kukutana na Lulu barabarani akiwa desperate na anahitaji lifti pasi na wewe kujua kuwa amesha-mkolimba mtu, ungemnyima hiyo lift????!!!!!

She is innocent until proven otherwise! Be smart brother!
 
...muendelezo wake si ajabu ukawa hivi: baada ya kupanda gari lilipata pancha pale BP, Cabo Snoop ndiye aliyepiga jeki, Akon akaziba na supagluu kutoka kwa Chameleon. Lakini gari likazimika, DJ Cleo akawapa waya wa boost... Barnaba akasema haufai ...

Abhabaa baa baa prakata tumbaaaaaaaa!
 
jamani si kweli kwa mujibu wa Ally kiba alipohojiwa na fetty kupitia kipindi cha XXL leo mchana. alisema siku hiyo tukio limetokea alikuwa coco beach na yeye alizipata kupitia kwa watu na hakuamini na ndipo akampigia lulu kwakuwa ndiyo namba pekee ya wanasanii wa kuigiza aliyokuwa nayo na kuzungumza naye ambapo alimwambia hajui anachojua ni kwamba kanumba anaumwa. tuwe makini kwa hili JF ni sehemu ya kufundisha na kutoa habari za uhakika si za udaku!!!!!
 
Mmh!! 1)Kwa nini amuulize Lulu?
2)Aliaminije kuwa Lulu ndiye pekee anayeweza kumhakikishia kuwa Kanumba kafariki.
3)Kwa nini Alikiba afiche hadi ahusihwe ndio atoe maelezo haya?
Nafikiri ingawa source si cha uhakika lkn kuna issue ya kufanyiwa utafiti hapa.
 
...muendelezo wake si ajabu ukawa hivi: baada ya kupanda gari lilipata pancha pale BP, Cabo Snoop ndiye aliyepiga jeki, Akon akaziba na supagluu kutoka kwa Chameleon. Lakini gari likazimika, DJ Cleo akawapa waya wa boost... Barnaba akasema haufai ...
Kwa hiyo na wewe ni Great thinker¿ Au gret tanker? Watu wanatoa habari halafu nyinyi mnaleta jokes za kibongoflavour humu.nendeni mkauze sura face book pls
 
kama kampa lift anahusika vipi na kifo cha the Great?
 
Hadi tumsahau Kanumba, yataibuka mengi sana. Kuna gazeti moja la udaku limeandika kuna dada anadai alizaa na Kanumba..
 
hata mi niliskia juzi usiku kwenye taarifa ya habari sauti ya injili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…