tayari kifo chake kimeleta mabadiliko kwa baadhi ya wa tanzania.
Kuna aliekunywa sumu ya panya huko misugusugu
kuna alieachika shinyanga
komba naye atatajwa muda si mrefu!
Watu wengi watahojiwa kuhusiana na kifo cha The great.lulu amtaja ali kiba ndiye aliyempa lift kutoka kwa marehemu kanumba.
Mmh!! 1)Kwa nini amuulize Lulu?
2)Aliaminije kuwa Lulu ndiye pekee anayeweza kumhakikishia kuwa Kanumba kafariki.
3)Kwa nini Alikiba afiche hadi ahusihwe ndio atoe maelezo haya?
Nafikiri ingawa source si cha uhakika lkn kuna issue ya kufanyiwa utafiti hapa.
Jaman tuache hizo, atajwe kwa sababu ya nyumba aliyomjengea?Komba naye atatajwa muda si mrefu!
Who iz kanumba bayi the weyi
Komba naye atatajwa muda si mrefu!
Kwani anayetafutwa ni aliyempa Lift au aliyesababisha kifo?
sms za Captain John Komba(mb) zimekuwa zikimiminika kwenye cellular ya Lulu, anadai Lulu asiwe na wasiwasi atamsaidia kumaliza kesi.
Huyo dogo ufuska kafundwa na kanumba na yy labda ndo alitatua rinda so alionyesha kufuzu na kuhitimu kwake
...muendelezo wake si ajabu ukawa hivi: baada ya kupanda gari lilipata pancha pale BP, Cabo Snoop ndiye aliyepiga jeki, Akon akaziba na supagluu kutoka kwa Chameleon. Lakini gari likazimika, DJ Cleo akawapa waya wa boost... Barnaba akasema haufai ...
Kwa hiyo na wewe ni Great thinker¿ Au gret tanker? Watu wanatoa habari halafu nyinyi mnaleta jokes za kibongoflavour humu.nendeni mkauze sura face book pls