Lulu kamtaja Ali Kiba ndiye aliyempa lift baada ya ugomvi wake na Kanumba


Kidude cha Aksante sijakiona naomba nimekugongea cha 'like' pia sijaridhika, chukua thank u hapa.
 

Na wakati tumeambia maisha tuyachukulia kawaida tu. Sijui amekasirika nini sasa.
 
Watu wengi watahojiwa kuhusiana na kifo cha The great Lulu amtaja Ali Kiba ndiye aliyempa lift kutoka kwa marehemu Kanumba.

Dude limeamshwa upya. Kipindi hiki mahakama ziko serious sana!
 
Ally kiba hata kama ndy aliyempa lift LULU yeye hahusiki hapo...tukio limetokea kwa KANUMBA na wapo watu 3 tu ....KANUMBA,,LULU na MDOGO WA KANUMBA,,,sasa KIBA anahusishwa na nn hapo?basi akamatwe na MUUZA VOCHA aliyemuuzia vocha LULU....tukio limetokea nyumbani kwa KANUMBA ,,tena chumbani ...wanaohusika waliokuwapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…