Lulu majizo vipi?

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Lulu ina maana hizo pimples kwa shemela wetu huzioni au wewe unaangalia pochi tu? Ebu angalia uso wa shemela ulivyokuwa na chunusi kama embe ng'ong'o, ukikutana nae usiku unaweza kukimbia halafu wewe ndo kwanza unajipendelea uonekane smart peke yako ,na hiyo rangi ya majizzo usoni siilewi naona rangi ya ndizi na parachichi au ndo mambo ya central yamemuaribu shemela wetu?,maana sitaki kuamini kaka mkubwa anatumia tecno wereva, Lulu shauri zako akina tunda wanammendea majizzo we endelea tu kuwa busy na insta live huku shemela anapauka kama unga wa Dona utashangaa wanambeba hakuna rangi utaacha ona,mfyuuu ila mmependezeana kwa kweli
 
hahahhh
Kama nakuona warumi ukiwa unampa mtu ubuyu live

Sema majizzo sio wa kumuamini huyu kaka ,hata loulou akimtunza vipi kama wa kuondoka ni ataondoka tu
 
Binamu michunusi haiambujizi bana.....pesa ndio inaambukiza [emoji4][emoji4][emoji4]
 
I wish I could be IGP
sura ya mwanamume mnataka iwejeee
Mbona kijana wa watu handsome tu
 
ungempost mawewe bwana ako tulinganishe na huyo majizo wa lulu!
kama hatujaona anasura ngumu kama magoti ya mbuzi!!
Sibebagi wavuta unga Mimi, I deals with high profile people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…