Lulu: Mapedeshee ndo wanawalipa wasanii sio filamu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Elizabeth Michael‘ Lulu' amefunguka kuwa wasanii wa kike wa Filamu wana Biashara nyingine iliyojificha ndani ya ile ya Filamu ambayo inawalipa zaidi.

Lulu amepasua kuwa Wasanii hao wanawategemea Mapedejee kuendesha maisha yao huku wengi wakiamini kwamba mabinti hao wa Bongo Movie wanalipwa vizuri kutokana na filamu wanazoigiza.

"Ukweli hauko hivyo, hali hii inatokana na wengi wetu kudumaa na hatuwazi kufanya mambo makubwa kwa Kuigiza na Wasanii wakubwa lakini hakuna anayeliona hili," alifafanua.

"Hakuna anayefirikiria kuigiza na wasanii wa Kimataifa kama Ritha Dominic ili Sanaa imlipe na wengi wanawategemee mapedejee au Biashara zisizo rasmi, kwani filamu inaonekana ipo juu lakini wahusika wake wanalipwa kwa staili nyingine kabisa," alisema.
 

Attachments

  • 1421174712826.jpg
    57.7 KB · Views: 614
So nayeye analipwa na hao mapedeshee er
 
Wote walewale huyu kaona magazeti yamemsahau ndio kaja na hiyo ili aandikwe mbna inafahamika kua wanaishi kwa kuuza mpapa.ila wakianza kuumwa kifua ndio majuto huanza mana bongo movie wengi wanaumwa vifua kwelikweli
 
Elizabeth Michael‘ Lulu' amefunguka kuwa wasanii wa kike wa Filamu wana Biashara nyingine iliyojificha ndani ya ile ya
filamu ambayo inawalipa zaidi.




Elizabeth Michael ‘Lulu',akiwa kwenye pozi.


Lulu amepasua kuwa Wasanii hao wanawategemea mapedejee kuendesha Maisha yao huku wengi wakiamini kwamba mabinti hao wa Bongo Movie wanalipwa vizuri kutokana na Filamu wanazoigiza.

"Ukweli hauko hivyo, hali hii inatokana na wengi wetu kudumaa na hatuwazi kufanya mambo makubwa kwa kuigiza na Wasanii wakubwa lakini hakuna anayeliona hili," alifafanua.

"Hakuna anayefirikiria kuigiza na Wasanii wa Kimataifa kama Ritha Dominic ili sanaa imlipe na wengi wanawategemee mapedejee au biashara zisizo rasmi, kwani Filamu inaonekana ipo juu lakini wahusika wake wanalipwa kwa staili nyingine kabisa," alisema
 
Yeye ameigiza na msanii gani wa kimataifa? Vigazeti uchwara vikikosa story ni shida kweli.

Hizi statement nyingine zitapata uhalali tu kama zitatamkwa na Lufita Nyong'o.
 
Huwa najiuliza Kanumba alipendea nin kwa hiki kifupi nyundo,??
 
Wote walewale huyu kaona magazeti yamemsahau ndio kaja na hiyo ili aandikwe mbna inafahamika kua wanaishi kwa kuuza mpapa.ila wakianza kuumwa kifua ndio majuto huanza mana bongo movie wengi wanaumwa vifua kwelikweli

Zarinah ndio habari ya mujini,anatafuta kick tu hana lolote.
Ni nani asiyejua hili?
 
Zarinah ndio habari ya mujini,anatafuta kick tu hana lolote.
Ni nani asiyejua hili?

Zarina ndo hot cake in town watutolee upuuzi wao wa bongo mavi
 
Yeye ameigiza na msanii gani wa kimataifa? Vigazeti uchwara vikikosa story ni shida kweli.

Hizi statement nyingine zitapata uhalali tu kama zitatamkwa na Lufita Nyong'o.

sijui uwa wanajisikia na kujielewa wanavyoongea au ndo akili za safar lager
 
Sasa anatuambia tena sisi..akawaambie Baraza la sanaa na bodi ya filamu, coz wao wanapiga usingizi ofisini na kudhani filamu zinalipa, kwa kuwa tu wanamuona Aunty anaenda Dubai na kurudi kama wao wanavyoenda Kariakoo.....sisi huku wengine ndio haohao Mapedejhee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…