Muigizaji maarufu bongo , ambaye pia linapokuja suala la fashion huwa hakosei, kupitia ukurasa wake wa instagram , ametangaza ujio wa collection yake mpya ambayo ameipa jina la EM collection , ambapo ametangaza kuzindua duka lake jipya la nguo hivi karibuni.
Hawapendi kushughulisha akili wanadandia biashara za watu mara mafuta ya NANDI, mara kinywaji, mara perfumes, mara karanga, mara nywele. Siku mwenye biashara akikata mirija wanazimia.