Lulu Michael: Kuhongwa ni presha tu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mwanadada asiyechuja kwenye tasnia ya filamu za bongo, lulu michael, amesema fedha za kuhongwa na wanaume ni nzuri lakini zina presha kubwa kwa msichana aliyepewa.

Lulu alisema kuwa wasichana walio wengi wanapenda kupokea fedha na vitu mbali mbali kutoka kwa wanaume lakini changamoto kubwa inayowakuta ni namna ya kulipa fadhila ya walivyopewa

" vitu vyabkuhongwa ni vizuri lakini vina presha kubwa katika suala la kulipa fadhila kwani msichana unalazimika kufanya kila aina ya ujuacho ili kumtuliza mwandani wako asikukimbie au kukunyang'anya vitu vyake."
 
He he he Haya Kungwi lulu tumekusikia
 
Huyu mtoto kishamaliza kukaa eda kwanza? Eeh
 
Kweli 100% lakini kukwepa kuhongwa ni kitu kigumu sana!
 
Anamaanisha ukihongwa huwezi kuchomoa kugawa tigo
 
Ila kweli....ni kama vile mtu anakupa karushwa flank hivi ili umsaidie kufanikisha jambo lake...hivyo unaweza kujikuta unakua mtumwa maana umekula vya watu af kukataa huwezi. Ila mwanaume wa kweli hawezi kudai vya kuhonga...vya nini sasa!?? basi na yeye akudai alivyokupa. Utaweza kurudisha!?? waiii
 
Watanzania wepesi wa kuamini na kuanza mjadala bila kutafakari. Hebu tujiulize Lulu kasema lini hivyo, wapi, katika mzaingira gani, kahojiwa na Nani? Unapoleta habari wekeni ushahidi. Msomaji ukiona habari haina chanzo jihadhari usikoment jifunze kuwa na akiba ya Maneno. We soma upite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…