warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Wakati wanazengo wakisubir kwa hamu harusi ya super staa kutoka katika kiwanda cha bongo movie , Elizabeth Michael , maarufu kama Lulu, Mwanadada huyo amepost video kwenye insta story yake ikiambatana na caption inayosomeka hivi “ Umekaa zako umetulia tuliii....Huna stress upo single , unakula bata, halafu kaka mmoja BOOM anakufanya u fall in love , bro hupendi maendeleo ya kina dada au ?” Aliandika hivyo lulu michael bila kufafanua zaidi kama huenda hiyo caption inamhusu yeye au ilikua ni Kiki tu.
Wanazengo wametafsiri caption hiyo kama ishara ya red light , huenda suala la ndoa halipo tena
Wanazengo wametafsiri caption hiyo kama ishara ya red light , huenda suala la ndoa halipo tena