Jamani kuuliza sio ujinga..natafuta umbea hapa siukuti kila siku...hivi Lulu kweli ana mimba? Na kama anayo ni ya nani jaman.
Nb.nampenda sana huyu mtoto jaman nataman angekuwa ndugu yangu..hata akifanya mabaya mm wala simchukii
Wewe pia unajiita mwanaume? taifa haliendelei kwasababu yenu
Anayo. Ni ya kwangu. Una shida gani?
Umbeya mtamu sana jamani, ila ykiona mtu hajazungumziwa ujue watu hawana time naye.
Hivi wewe...acha kuji braza k..a.k.a kukurupuka aliyekwambia mm mwanamme nani..jipangeeeee
Ya papaa mafido yule wa BSS Arusha. Unamfahamu?
Ukiwa mwanamke ndio kazi yako kufuatilia mimba za watu? amka kijana, taifa linakutegemea.
Wewe pia unajiita mwanaume? taifa haliendelei kwasababu yenu
Ukiwa mwanamke ndio kazi yako kufuatilia mimba za watu? amka kijana, taifa linakutegemea.
Duuuu hizi story za kwny instargram huku zimekuja vp acheni upuuz kwan na yy ni celebrity au asiwe na mimba yy nani na kama anatoa papuchi ki roho swafi
celebrities forum....piteni hivi
mi huwa nashindwa kuelewa. sijui jamaa wanataka humu zizungumziwe habari za" ujamaa na kujitegemea" au "ukulima wa kisasa"?
waishie zao kujenga taifa kujenga taifa...wakalijenge wao sie tutalipaka rangi
Wameshindwa kujenga kuta kuzunguka mabanda yao wanaweza kujenga taifa! Koh koh koh
Umbeya mtamu sana jamani, ila ykiona mtu hajazungumziwa ujue watu hawana time naye.