Lulu na Idris watatengeneza "couple " bora

Mnatabiria mwenzenu kifo tuuu....mfyuuuuuuu....

cc: [MENTION=141128]warumi Dinazarde usije huku, ukae huko huko ntakusimuliaaa...

binamu nimewamis, niliporwa galaxy yangu kwenye nyama choma sina hamu, ntawapa umbea vizur ngoja kesho nanunua i phone six kwa hasira
 
Last edited by a moderator:
binamu nimewamis, niliporwa galaxy yangu kwenye nyama choma sina hamu, ntawapa umbea vizur ngoja kesho nanunua i phone six kwa hasira

Pole binamu ake.....mithin u thanaaa......
 
binamu nimewamis, niliporwa galaxy yangu kwenye nyama choma sina hamu, ntawapa umbea vizur ngoja kesho nanunua i phone six kwa hasira

Binamu ulizidiwa n utam wa nyamachoma au uliopoa msupuu kibaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…