Lulu na tuhuma za Ulevi baada ya kupigwa chini na Majizo

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Usiku wa jana Binti Elizabeth michael, Lulu alikuwa insta live akiwa amelewa, inasemekana kwa sasa amekuwa mtu wa stress baada ya kupigwa chini na mpenzi wake Majay

Screenshot_20190710-144159~2.jpeg
 
Kisa cha kuachana mkuu!? Mbona walivishana pete mda flani?
Kama ameachana na majizo sishangai yeye kulewa. Kulewa ndo katabia kake sema majizo alikuwa anamlinda sana na kumtengeneza aonekane wa heshima.
Sasa wameachana karudi alipotoka.
 
duh
 
kumbe
 
Back
Top Bottom